Hongera zao hao wananchi kwa juhudi wanazo fanya kujiletea maendeleo.
Waambie Diwani na Mbunge wao atakapo amua kuwatembelea wamtoze ada za matumizi ya barabara hiyo na huduma nyinginezo walizo zisimamia kwa nguvu zao.
Sidhani na wala sitegemei Samia kufika huko, lakini ikitokea apotee njia na kufika huko, ni muhimu alipie gharama zote kwa kutumia hudumu za miradi iliyo jengwa kwa nguvu za wananchi.