Watu hawaendi kutembea kwa sababu ya Corona, nguo mpya za sikukuu za nini ?

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Watu hawaendi kutembea kwa sababu ya Corona , ni kula tu kisha kutulia ndani, sasa unapodai nguo za Sikukuu ili iweje ? unataka uwende ukatemee wapi ? Wake zetu muda mwingine wanawaza wnayojua wao.
 
Wanaume acheni gubu, mambo ya familia yajadiliwe kifamilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…