Watu hawakomi Tu kugema mafuta kwa gari ilopinduka?

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,373
Reaction score
3,586
Mungu atunusuru
Your browser is not able to display this video.


Ni wapi? Mimi sijui exactly lakin huyo reporter anasema anareport toka MWASUNGUTI ukishatoka ISOKA karibu na CHINSALI...Wanaoelewa Geographia Yao watueleze ni wapi??? Mbeya nini hii au songwe ???!!
 
Umasikini bado upo sana huu mfumo ubadilishwe...miaka zaidi ya 50 bado tuko palepale....
 
umaskini unasababisha watu wanarisk maisha bila kujali
 
Maisha magumu sana mtu haoni tofauti ya kuishi au kufa. Bora ajaribu kuishi.
 
Ngoja tusubirie taarifa ya habari mnano saa mbili ITV...🤔
 
Taifa bado ni masikini sana. Masikini anajitoa muhanga uhai wake akalishe familia
 
Hii sio Dodoma kweli maana naona mbegu fupifupi
 
Wapi hii mkuu?
Ni wapi? Mimi sijui exactly lakin huyo reporter anasema anareport toka MWASUNGUTI ukishatoka ISOKA karibu na CHINSALI...Wanaoelewa Geographia Yao watueleze ni wapi??? Mbeya nini hii au songwe ???!!
 
Siku hizi ajali kama hiyo ikitokea kwanza wanaweka ulinzi endeo la betri!!! Kisha vyanzo vingine vya moto
 
Nimeshangaa sana ameshindwa hata mmoja kujitolea kuchomoa betri tukio halinogi bila uchomoaji wa betri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…