winlicious
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,009
- 1,159
Ni Zambia, jirani na mpaka wa MalawiMungu atunusuru View attachment 1943498
Ni wapi? Mimi sijui exactly lakin huyo reporter anasema anareport toka MWASUNGUTI ukishatoka ISOKA karibu na CHINSALI...Wanaoelewa Geographia Yao watueleze ni wapi??? Mbeya nini hii au songwe ???!!
Hii video haifunguki kwangu ila Chinsali ni ZambiaMungu atunusuru View attachment 1943498
Ni wapi? Mimi sijui exactly lakin huyo reporter anasema anareport toka MWASUNGUTI ukishatoka ISOKA karibu na CHINSALI...Wanaoelewa Geographia Yao watueleze ni wapi??? Mbeya nini hii au songwe ???!!
Hiyo ni Zambia jana ilikuwa ni Gari ya Dalbit iliangukuka baada ya kuweka Gari yenye namba za kizambia na wala tanki haikupasuka ila wajuba walimpiga Dereva na kupakia mifuniko na kuanzia kuona Mafuta hiyo ni kawaida kwa ZambiaMungu atunusuru View attachment 1943498
Ni wapi? Mimi sijui exactly lakin huyo reporter anasema anareport toka MWASUNGUTI ukishatoka ISOKA karibu na CHINSALI...Wanaoelewa Geographia Yao watueleze ni wapi??? Mbeya nini hii au songwe ???!!
Walipasua mifuniko Gari ilikuwa imekwepa kugongana na Gari ya Zambia ya Contaner ndio ikaangukaHiyo ni Zambia jana ilikuwa ni Gari ya Dalbit iliangukuka baada ya kuweka Gari yenye namba za kizambia na wala tanki haikupasuka ila wajuba walimpiga Dereva na kupakia mifuniko na kuanzia kuona Mafuta hiyo ni kawaida kwa Zambia
Dereva ni mtanzania na alijaribu kuwazuia lakini alipokea kipigo na askari walikuwepo na kama utaona picha walimloanisha na mafuta mwili mzima sijua anaendeleaje kwa sasaHiyo ni Zambia jana ilikuwa ni Gari ya Dalbit iliangukuka baada ya kuweka Gari yenye namba za kizambia na wala tanki haikupasuka ila wajuba walimpiga Dereva na kupakia mifuniko na kuanzia kuona Mafuta hiyo ni kawaida kwa Zambia