Watu hukaa na kuanza kuongelea wengine (umbea) ili wao wajione superior

Watu hukaa na kuanza kuongelea wengine (umbea) ili wao wajione superior

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
815
Reaction score
1,983
1. Watu hukaa na kuanza kuongelea wengine (umbea) ili wao wajione superior kwa wengine meaning they are better than them which is not true. Maana hawana namna nyingine ya kujiona they are better bila kuwaongelea down on others.

2. Wengine huongea umbea ili ku socialize with wengine kupoteza muda. Maana hawana lolote la msingi la kuongea.

3. Wengine huongea umbea ili waweze kufit with a certain group of people.

4. Wengine huongea umbea because they are depressed and wana hasira na maisha or maisha ya wengine so hasira na ku feel better ni through kuongelea wengine.

WHATEVER THE CASE IS UMBEA SI MZURI NI BORA KUONGELEA MAMBO YA MAENDELEO NA YA MSINGI AMBAYO YATASAIDIA KIMAISHA KULIKO KUPOTEZA MUDA KUONGEA UMBEA .
 
Labda hujui maana ya umbea; hata ulichoandika hapa ni umbea kwa asilimia kubwa
 
Back
Top Bottom