Watu husema kama hauwezi kusema kitu kizuri basi usiseme neno. Nicholas Nassim Taleb pia maneno yake wakati mwingi hunukuliwa; "If you see fraud and do not say fraud, you are a fraud"
That's how highly moral societies of an African origin have been doing even since before our ages. Anyway, if we Tanzanians can, the best practice is not to be like this.
Si busara hata kidogo kumdhihaki mwanadamu aliyefikwa na umauti na baadae kuwa marehemu. Ni kitu gani kinachokupa nguvu ya kuona kuwa maisha yako ni bora zaidi ya mwingine?
Hii Tabia imekuwa tatizo kila kukicha; inashangaza kuwa kwa kiasi kikubwa ni Tabia inayofanywa na kushangiliwa na walio wengi ambao ni urithi wa Elimu-Maisha kwa vizazi vijavyo katika hili Taifa letu zuri (Wazazi).
Tukumbuke kuwa wengi wetu na tunayoyafanya huku tukijua kabisa ni sehemu fulani ya raia kukosa wema basi that is not being responsible but being problems.
Hivi karibuni kama Taifa tulipata msiba mkubwa na wengi wa raia tulikuwa dillema lakini Mungu akasimama pamoja na desturi zetu nzuri tukapata Mkuu wa nchi mwingine Shupavu.
Impact ya msiba ule imekuwa na athari mbaya sana tu kwenye personhood. Wengi wa Watanzania tulio ndugu leo hii tumeweza kunyosheana vidole na kuogopana kama maadui wa miaka mingi mno. Hatukuwa hivi sisi Watanzania.
Tamaa ya pesa za bure na unafuu wa maisha bila jitihada ya kazi hatuwezi kuziridhisha roho zetu kabisa. Watanzania lazima tufanye kazi na tuwe na Upendo moyoni ndo bahati zetu zitakuwa njema na huu Mwanzo wa kujitengenezea Civil Conflicts utazikwa na undugu wetu utamea Tena.
MUHIMU: HAKUNA KITU KIZURI NA HAPOHAPO KIWE KIBAYA KWA WAKATI MMOJA, MAMBO MAZURI HUWEZI KUYAKUTA NDANI YA KITU KIBAYA JAPO YANAWEZA KUWEPO YAKIWA YAMEKIZUNGUKA.