Watu husumbuliwa na maumivu ya shingo pale wanapo amka asubuhi

Joined
May 15, 2019
Posts
69
Reaction score
23
Watu husumbuliwa na maumivu ya shingo pale wanapo amka asubuhi

Wakati mwengine aina ya mto wako unaotumia unaweza changia Hasa mto ukiwa

1. Mgumu sana

2. Mkubwa sana

3.Mdogo sana

vitu hivi huaribu uwiano wa kichwa chako na mwili wako pale unapolala na kupelekea misuli ya shingo yako hasa upande mmoja kukaza.

Pia wengine huwa wanakuwa vizuri hasa pale wanapoamua kutotumia mto kabisa kutokana pia na kuwa na aina nzuri ya magodoro
Kama unasumbuliwa na mto wako na unakuletea maumivu kila siku ukiamka jaribu kutafuta mto utakao kufaa

1. Mlaini

2. size ya kati

3. Mto maalum wa kuzuia maumivu ya shingo.

Karibu endelea kuelimika
DPT JOSEPH MWANANGWA 0718 22 48 40View attachment 1110930View attachment 1110931
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…