Watu kulia kabla ya hukumu ina maana gani?

Watu kulia kabla ya hukumu ina maana gani?

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
6,813
Reaction score
11,540
Jamani naomba mnisaidie, pale watu kulia / kuliliwa kabla hata hajahukumiwa ni kukiri kwamba yuko guilty?

Wabobezi wa haya mambo mnisaidie.

Povu Ruksa

God save us
 
Akina nani wanalia kabla ya hukumu? Tuanzie hapo kwanza!
Huyu jamaa anaelewa madaraka nae kuna siku atalia kabla ya hukumu!
masoudkipanya_B9ihqewDrXu.jpeg
 
Kesho ni nzuri kuliko jana

Jr[emoji769]
Ikitokea akenyea debe. Unafikiri atayasema hayo.

Kinachonishangaza wamejuaje mvua inaenda kuwanyeshea?

Kama wangekuwa wapole kama walivyo leo ingependeza sana

God save us
 
Tafsiri yake ni pana kuliko kunyea debe
Ikitokea akenyea debe. Unafikiri atayasema hayo.

Kinachonishangaza wamejuaje mvua inaenda kuwanyeshea?

Kama wangekuwa wapole kama walivyo leo ingependeza sana

God save us

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom