Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikiaga watu wakisema tu
'tumpeleke hospitali akapimwe akili'
swali hapa hivi vipimo vikoje koje?
kuna mwenye ufahamu?
kuna mashine zinapima nini?damu? au?
hakuna mashine za kupima akili,kinachofanyika, at first, the doctor takes a thoroughly history from the patient and the relative(if available), kama ambavyo daktari huwa anaongea na mgonjwa yeyote yule anaekwenda hospitali, thenNasikiaga watu wakisema tu
'tumpeleke hospitali akapimwe akili'
swali hapa hivi vipimo vikoje koje?
kuna mwenye ufahamu?
kuna mashine zinapima nini?damu? au?
bila kusahau kipimo maarufu cha EEG(electroencephalogram).Mkuu the Boss,
Katika eneo pana la matibabu ya mwandam akili ni mojawapo.
Ubongo unafanya kazi kwa kutumia vitu kama neuro transitmeter na ni zaidi ya hapo.
Kumpima mtu akili hakuanzii au kuishia katika vipimo tu, ni pamoja na kufanya assessment ya mwenendo wa mtu katika kujieleza, kueleza, kifikra, kujihisi n.k. (psychology).
Vipimo vifanyikavyo ni pamoja na CT scan, MRI ambavyo huangalia mwenendo mzima wa ufanyaji kazi wa ubongo.
Na ikumbukwe kuwa maradhi ya akili si ya aina moja, yamegawanyika katika sehemu nyingi sana.
Ni usanii mtupu hamna kitu.
Kuna mwaka fulani yalitokea matetemeko kanda ya kati. Nikashangaa Wakuu wa idara ya GST wakisema eti kesho watatuma wataalam kwenda kupima Kweli bwana kesho yake wakaenda wataalam huku wamebeba thodolite, damplevel, measuring tape eti kupima ukubwa wa tetemeko.
Yani nilisikia aibu kudanganywa kisanii vile. Ivi kweli kipimo cha Ritcher kinapatikanika kwa kutumia damplevel?
Watanzania wajingawajinga waliwaona ni wataalam kweli, kumbe ni magumashi tu.
Nadhani amesahau au kupitiwa tu.bila kusahau kipimo maarufu cha EEG(electroencephalogram).
Namshangaa Dr.Wansegamila hapo juu anasema hakuna vipimo vya functioning ya ubongo.
bila kusahau kipimo maarufu cha EEG(electroencephalogram).
Namshangaa Dr.Wansegamila hapo juu anasema hakuna vipimo vya functioning ya ubongo.