Watu kutoka Mbeya pamoja na utajiri wa vyakula uliopo huko watu bado afya zao ni mgogoro

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Bado niko mbeya

Juzi jumapili nikawa mgahawa mmoja maarufu hapo mtaa wa Soweto.

Nikasema ngoja nifanye simple research kuhusu ulaji wa watu wa huku.

Imagine mtu anakunywa supu na Chips, kweli hivi vitu vinaendana?

Unakuta mwanamke anakupigia supu ya kongoro na ndizi afu anashushia na tochi ya k vant.

Watu wa huku nimewavulia kofia.
 
kufata fata yasiyo kuhusu, kaungane na kina mama.

we fata yaliyo kupeleka, kuhusu ulaji wao waachie wenyewe.
1000018341.gif
 
Bado niko mbeya

Juzi jumapili nikawa mgahawa mmoja maarufu hapo mtaa wa Soweto.

Nikasema ngoja nifanye simple research kuhusu ulaji wa watu wa huku.

Imagine mtu anakunywa supu na Chips, kweli hivi vitu vinaendana?

Unakuta mwanamke anakupigia supu ya kongoro na ndizi afu anashushia na tochi ya k vant.

Watu wa huku nimewavulia kofia.
Nyie watu wa hivi huwa mnaolewa kwa masaa machache mnaachwa ndo mnakuwa na hasira. Siku aje mtu mkoa wangu aseme vibaya nitamfirimba kama ambavyo wewe na hakika leo watu wa huko watakufirimba.
 
Bado niko mbeya

Juzi jumapili nikawa mgahawa mmoja maarufu hapo mtaa wa Soweto.

Nikasema ngoja nifanye simple research kuhusu ulaji wa watu wa huku.

Imagine mtu anakunywa supu na Chips, kweli hivi vitu vinaendana?

Unakuta mwanamke anakupigia supu ya kongoro na ndizi afu anashushia na tochi ya k vant.

Watu wa huku nimewavulia kofia.
  1. Sampling Frame: wanawake wanaopata breakfast, mtaa fulani, Soweto, Mbeya City.
  2. Sample size: n=1
  3. Findings and conclusions: Watu wote wa mkoa wa Mbeya wanakula ovyo.
 
Back
Top Bottom