Bado niko mbeya
Juzi jumapili nikawa mgahawa mmoja maarufu hapo mtaa wa Soweto.
Nikasema ngoja nifanye simple research kuhusu ulaji wa watu wa huku.
Imagine mtu anakunywa supu na Chips, kweli hivi vitu vinaendana?
Unakuta mwanamke anakupigia supu ya kongoro na ndizi afu anashushia na tochi ya k vant.
Watu wa huku nimewavulia kofia.