Watu maarafu walioandikwa kwenye Kitabu cha Atlas ya Darasa la 6 Tanzania

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
IMG_6104.jpeg
IMG_6103.jpeg
IMG_6102.jpeg
 
Kwanza niulize, atlas zimepotelea wapi? Sioni new edition, new version wala reversized. Kuna mabadiliko ya kijiografia hasa mipaka na utawala, kilimo na biashara. Mikoa na wilaya imeongezeka, nchi nazo zimegawanyika na kutokea nchi zingine hali kadhalika siasa za ndani na za kimataifa. Wachapishaji wameenda wapi miaka hii?
 
[emoji817][emoji817]
Utofauti wa Jiografia ya dunia na nchi haiendi mbali sana na teknolojia, mabadiliko kila leo.
Ongezeko la watu, shughuli za kiuchumi, eneo la makazi na uzalishaji sambamba na ongezeko la maeneo ya utawala.
 
Kwanza niulize, atlas zimepotelea wapi? Sioni new edition, new version wala reversized. Kuna mabadiliko ya kijiografia hasa mipaka na utawala, kilimo na biashara. Mikoa na wilaya imeongezeka, nchi nazo zimegawanyika na kutokea nchi zingine hali kadhalika siasa za ndani na za kimataifa. Wachapishaji wameenda wapi miaka hii?
Ndio hii sasa niliopost toleo la 2022
 
Nina wasiwasi na content za kilichoandikwa.

Yaani Joseph Haule na Joseph Mbilinyi wametokea/wamezaliwa Songea?

Halafu kiingereza kilichotumika mbona kama kimekaa kushoto kulia..
 
Mbona ina makosa ya kiuandishi (kiengereza kibovu baadhi ya sehemu), origin ya Ruge Mutahaba inaonesha ni NYC wakati kwao ni Kagera, sina uhakika sana kama Lady JD origin yake ni Shinyanga (nahisi kama kuna kosa hapo) n.k n.k
 
Back
Top Bottom