Kwanza niulize, atlas zimepotelea wapi? Sioni new edition, new version wala reversized. Kuna mabadiliko ya kijiografia hasa mipaka na utawala, kilimo na biashara. Mikoa na wilaya imeongezeka, nchi nazo zimegawanyika na kutokea nchi zingine hali kadhalika siasa za ndani na za kimataifa. Wachapishaji wameenda wapi miaka hii?
Ndio hii sasa niliopost toleo la 2022Kwanza niulize, atlas zimepotelea wapi? Sioni new edition, new version wala reversized. Kuna mabadiliko ya kijiografia hasa mipaka na utawala, kilimo na biashara. Mikoa na wilaya imeongezeka, nchi nazo zimegawanyika na kutokea nchi zingine hali kadhalika siasa za ndani na za kimataifa. Wachapishaji wameenda wapi miaka hii?