Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

A true son of Africa whose blood stains American hands to date
 

Attachments

  • 0c48520d-3376-4ba2-b05e-4fe12c964e6f_TapatalkEditedImage.jpg
    10.1 KB · Views: 302
Ndio ameshafariki, mbona ni muda sana, kumbe hukuwa na taarifa.

Ni miaka minne sasa imeshafika
Huyo ni heavy d ina maana nae kafariki au?

Chriscross
Ndio, Chris Kelly wa Kriss Kross ndie alietutoka ila mwenzake Daddy Mac bado yuko hai.

Chris Kelly madawa ya kulevya(Unga) ndio yaliomuondoa hapa Duniani, alizidisha kipimo.

Huyu hapa pichani ndie Marehemu Chris Kelly.



Pamoja ya kuwa wana vibao vingi ila kwa kweli Kriss Kross hakuna asiewafahamu kwa vibao vyao hivi viwili vilivyobamba sana, ambavyo ni Jump na I missed the bus

Hebu ngoja tujikumbushe kwa vibao vyao hivi viwili vikali sana vinafuata hapo chini
 
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:

Jamaa ni Doddi Al Fayed
 
Gibson Sembuli, Said Kwamba, Mussa Msangi, Christopher Alex, Method Mogella"Fundi" Riffat Said, Patrick Mafisango, Mohamed Chuma, Issa Athumani Mgaya, kwa kutaka wachezaji waliowahi kuchezea Taifa Stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…