Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50


Yaani kweli wewe ni mchochezi; ina maana huku kwenu afrika na tanganyika hakuna watu aina hiyo?! Kanumba, mtoto wa dandu, Amina chifupa, Gibson Sembuli, Salum Abdalah, Patrice Lumumba, Bavon Marie Marie, Amilcar Cabral, Mbarak Mwinshehe Mwaruka nk nk; walikuwa na umri gani wakati wa mauti yao?! au hao sio watu maarufu katika fani zao?!
 

Justinian Rweyimamu
Mchumi bora wa daraja la kwanza Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…