Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50



Bruce Lee, aliuliwa na Wamarekani kwa wivu wa maendeleo ya huyu Muigizaji angeiletea faida sana nchi yake..Walimfanyizia dili
 


Hii ardhi hii ingekuwa inajaa duh sijui ingekuwaje...lakini ndio kwanzaa hata haijafikia robo...Makaburi ni machache kuliko wanaokufa.
 
Babu Sambeke Mfanyabiashara mkubwa Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…