Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Lucky Dube je

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuu!!! Mkuuu upo vizuri salute kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtazamo wako wa kimagharibi sana. Orodha yako haina mtu yeyote maarufu kutoka race ya weusi?!???!!
Kwani Malcom X ni mweupe? Martin Luther Jr ni mweupe? Au unajua kulalama tu?
 
LEXII ALIJAI (19/02/1988-01/01/2020)


 
Ferdinand Magellan (41)- Huyu alikuwa mtu wa kwanza kusafri na kuizunguka dunia kwa mashua akathindisha kuwa dunia ni mduara. Navigation Satellites za Ulaya zimepewa jina lake
Hivi njombe pale sio duniani...??hiyo mashua ilipita tale au sangamela
 
Dj arafat
Dj culter
Jebi
Masogange gerad
Mbalamwez wa the mafik
Kinyambeee
Sam wa ukweli
Dah
 
Alikuwa anatoka Dodi Al Fayed billionaire wa Kiarabu aliyekuwa akiishi France yeye na familia yake ni wamiliki wa chain of Supermarkets na biashara nyingine Ulaya ,inasemekana "Eti" Princess tayari alikuwa na ujauzito wa huyo Billionaire na walikuwa ktk harakati za kufunga ndoa kitu kilichotafsiriwa km kashfa kubwa kwa Royal family.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kumbe na wewe ni muhenga
 
Marin Hassan Marin- 47 alikuwa mtangazaji TBC

Edward Moringe Sokoine- 46 alikuwa waziri mkuu wa Tanzania

Deo Filikunjombe

Kobe Bryant

Nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…