Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Thomas Sankara (37)rais wa zamani wa Burkinabe
Marien Nguabi (38) rais wa zamani wa Congo Republic
Patrice Lumumba (35) Waziri mkuu wa kwanza wa DRC
Steve Biko (30) mpigania uhuru wa Afrika Kusini
Dedan Kimathi (36) mpigania uhuru Kenya
Alexander the Great (32)
Marvin Gaye (44)
Lucky Dube (43)
Pepe Kalle (46)
Fred Akuffo (42 ) rais wa zamani Ghana
Ignatus Kutu Echimpong (47 )––do–––
Tom Mboya (38) waziri Kenya
Josiah Mwangi Kariuki (46) waziri Kenya
wapo wengi akiwamo baba yangu
 
Chadwick Aaron Boseman

Alikuwa ni star wa filamu ya Wakanda
 
Kumbe pepe kale kafa bado sana
 
Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho
Rijamaa lilikuwa ri- Arabu! toto la Milllionair wa kiarabu, Maarufu kwa jina km Dod Fayed!! Miarabu kwa papuchi hee! ilivolinogea tu likaamua liwalo naliwe lilikufa na mchuchu kifuani kiroho swafiii!

Kademu kenyewe sasa, kalikuwa kamesha zaa vitoto viwili tu vidogo!! kwa hiyo Mashine ilikuwa bado swafiiii na salama!!...Malkia kaona. ALAAH! sasa hii dharau sasa!!

Yani kwa Mamlaka haya niliyo nayo!! ukoo wangu wende kuchanganywa kwa hao nyani weupe wasio kuwa na utaifa subiri!....ndo yakatokea yaleee!...wachache sana tunalijua hili...

ila katoto kadogo kale ka Dayana kaliumia sana kali amua kuwa kamwe hakataki cheo kilicho jaa damu ya mamake hakata kaa na wauaji, leo kako kivayke huko Canada kameoa Mswahili km mzaramo yule sijui...... PYUUU!!
 
Kanumba
 
Thomas Sankara alikua na Umri gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…