Watu maarufu na majina halisi waliyopewa wakati wa kuzaliwa

Ambilikile Atupile Mwasapile
Babu wa Loliondo..
Mbona mnasahau?? Wakati aliwasaidia.
 
Waningeria wengu ndio hivyo - wawe maarufu wasiwe maarufu ni lazima wana nickname... Kama wewe ni Mnigeria halafu hauna nickname uhamiaji wanaweza kukuvua uraia wakidhani siyo Mnigeria...
 
John simon mseke - Joh Makini
Nickson simon - Nikki wa pili
George Sixbeth - G Nako
Lord Eyez - Isack Waziri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…