mwibamwiba
Senior Member
- May 22, 2015
- 150
- 38
Watu maarufu popote duniani wanao uwezo usio na shaka kabisa wa kumfutia mtu au familia yake dhambi, na wakishindwa basi kwa namna moja au nyingine wataififisha kwa wao nao kubeba kiasi ikiwa umechafuka sana au kukugawia sehemu ya baraka mpya, uwezo ambao huwezi kuupata hospitali wala kwa mganga yeyote yule duniani.
Watu maarufu hawa waweza kuwa wanamziki maarufu na nyota katika jamii, wacheza mpira, waigizaji mashuhuri kama alivyokuwa marehemu Kanumba, au kundi la the commedy, viongozi wa kisiasa na wa kiserikali waliomahiri na mashuhuri na hiyo haitoshi bali mpaka walio na nyota ya kupendwa kama wakuu wote wa nchi, wawe wa kidemokrasia au lah. Maana wote wapo kwa baraka za Muumba na kila mmoja amepewa moyo mnyenyekevu au mgumu kwa makusudi yake Muumba. Niaje basi wana uwezo huu wa kumfutia mtu dhambi na kumpa baraka?
Mtu katika jamii au kijiji akiwa ametengwa na hatembelewi na watu, au anasemwa kwa mabaya na kumbuka hali hiyo huwepo wakati mwingine kama jambo la asili, yaani hutokea tu watu au jamii hawakupendi bila sababu ya msingi wala bila ya chuki ya mtu yoyote kusema labda ameieneza.
Basi tajiri mmoja tu akimualika mfano mwanamziki wa Bongo wa Fleva mwenye nyota ya kupendwa kama Diamond katika mji uishio kwa ajili ya show katika ukumbi fulani, kisha bila wewe kujua labda kwa huruma yake akasema mwanamziki huyo akifika aje kutembelea nyumba ya mtu aliyetengwa au asiyependwa na jamii yake kisha msanii huyo akae katika familia hiyo kwa muda hata wa saa mbili tu kwa maongezi na japo anywe chai nao (waliotengwa) huku umati ukiwa unamfuata, basi kwa hakika kuanzia siku hiyo familia hiyo itakuwa imefutiwa gundu lote na kuanza kupendwa na jamii nzima,ikiwa ni hoteli au ktk duka basi utauza mpaka...... tiba ambayo kamwe huwezi kuipata kwa mganga wa kienyeji yeyote yule na kumbuka msanii huyu hana masharti bali sharti kuu ni karibu yako tu.
NB;Kumbuka whites ni super race and blessed according to university writings so wao wote ni nyota ukitembelewa nao na ukawakaribisha umependwa zaidi na zaidi.
Ila ni wanamziki wachache wenye nyota wanaojua kwanini hualikwa kwa mamilioni ya shilingi kwenda mahali kwa show,ni Uganda pekee ndio wasanii wa huko wanaojua thamani yao na hili kwani kwa hakika ni sehemu ya utulivu wa kisiasa. Kuhusu viongozi wa kitaifa wao huwa tofauti kwani wao wanabaraka kubwa sana, kiongozi wa kitaifa kwa kupiga nae picha tu au kushikana nae mkono unaweza kuishi kwa uhuru mkubwa katika sehemu uliopo au hata biashara zako mgambo wa jiji wasizikaribie kabisa na kwa kula nae mlo mmoja tu ambao utaoneshwa katika televisheni utakuwa umeweka historia ya vizazi na vizazi vyako.
Lakini nini maana ya nyota> Nyota ni hali isiyoonekana ambayo mtu huzungukwa na hali isiyoelezeka ambayo huwa na mvuto kwa umma ila ni mchakato mpaka kuwa nyota katika jamii kwani kwanza kabisa ni lazima wawepo wanaozitengeneza nyota hizo na wakiamua wana uwezo wa kuzififisha, yaani malaika watu au kwa jina maarufu Usalama wa Taifa wa kila nchi husika, kivipi basi??
Wao ndio huiamua nani awe maarufu hata kama unafaa au la maana wakiamua utakuwa tu,pili vyombo vya habari lakini mlolongo wote huu msimamizi wao Mkuu ni Muumba. Nyota ikiwa kubwa sana ni shida kwa jamii hivyo wao wanaozitengeneza huwa na mbinu za kuzibalance mfano mtu akipendwa kupita kipimo siku akikurupuka akamchukia mtu au akalalamikia kitu fulani basi jamii nzima itaungana nae na hata kuleta uvunjifu wa amani.
Ndio maana basi ni lazima nyota aandaliwe kabla ya kuwa nyota kama ilivyo Marekani kila nyota huwa amezungukwa na kila aina ya mtu walau mmoja toka kitengo fulani,bila hivyo ni shidaaah.na wao wanapoona nyota ya mtu ni kali humshauri kufanya baadhi ya matukio kuibalansi nmfano marehemu 2 pack alikuwa akinyoa upara tu basi vijana wote duniani wangenyoa kesho yake,akifunga kilemba tu hivyo hivyo, akivaa nusu mlegezo ni hali hiyohyo duniani, aliposhauriwa sina hakika kama alikubali...
Lakini kuwa na nyota ni shughuli kwelikweli sawa na mwanamziki maarufu wa TZ, Fid Q aliwahi imba... usupastaa ni sawa na mzigo wa miiba, ukiubeba lazima ukuchome (hivyo pongezi kwa watu maarufu msoto wake wanaoujua ni wachache) ndio maana basi CIA wengi huwa ni maproducer wao kazi yao ni kukaa nyuma ya camera na sio mbele ya camera na kuibua vipaji vya watu maarufu yani kuzipika nyota za watu na wao huonekana kwa nadra siku za upokeaji tuzo wa kazi zao walizoandaa.
Haya ni maoni tu, tupeane elimu kwa nisiyoyajua.