Watu maarufu na nyota wana uwezo wa kumfutia mtu dhambi na kumpa baraka ila hawajijui

Una ushahidi gani kuwa mungu kanipa pumzi??
 

japo simkubali el ila suala la kusema tunahitaji elimu kipeo cha tatu nakubaliana nae.
 
Tatizo ni viroba ama kuna dunia nyingine wanakotoka binadamu kama huyu? Eti Diamond, Kanumba kumfutia mtu dhambi!! Hivi Mirembe ilishafungwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…