Watu maarufu nchini waliotutoka mwaka huu 2010.

Mkemia mkuu wa serikali Dr.mashimba
 
Na yule mtunzi wa riwaya za Joram Kiango akiitwa Ben Mtobwa alikufa mwaka gani sio mwaka huu kweli?
 
Na wana JF wote waliotutoka mwaka huu RIP
 
Na wana JF wote waliotutoka mwaka huu RIP

Wadau kuna yeyote mwenye taharifa za kifo cha member yeyote wa Jf?
Nimejiuliza kwa Id hizi mtu anapofariki members wengine wanajuaje?
 
Wadau kuna yeyote mwenye taharifa za kifo cha member yeyote wa Jf?
Nimejiuliza kwa Id hizi mtu anapofariki members wengine wanajuaje?
Kujua ni ngumu , unless kama alikuwa anajulikana na rafiki mmojawapo wa JF!
Lakini so far sijawahi kupata taarifa ya mwana-JF yeyote ufariki!
Urafiki nje ya keyboard ni muhimu sana jamani...hatuna haja ya kukimbiana kama wachawi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…