Hizbu Sharifu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2021
- 450
- 890
Ni kweli watu tunaowaona ni maarufu wanapata athari ya kuharibikiwa nyota zao hata kama hawajarogwa na hii hutokana na kila mtu anaemjua kumchukulia kwa mtazamo wake wengine watampenda na wengine watamchukia, sasa hao wanaomchukia kuna watu wengije jinsi walivyoumbwa wakimchukia mtu au wakichukia kitu basi huharibika na kupotea na ndio sababu watu maarufu wengi wanaondelea mpaka leo ni dhahiri kuna jambo linaloendelea nyuma ya pazia kwa kinga za kiasili.
Unaweza kua na kinga katika zehemu zako zote unazokuwepo katika maisha yako, nyumbani kwako, kwenye gari yako, ofisini kwako na pia kinga ambayo utakua nayo wewe mwenyewe popote uendapo.
Unaweza kua na kinga katika zehemu zako zote unazokuwepo katika maisha yako, nyumbani kwako, kwenye gari yako, ofisini kwako na pia kinga ambayo utakua nayo wewe mwenyewe popote uendapo.