Watu Maarufu ni wepesi kuharibikiwa nyota hata kama hawajarogwa

Najua ww ni Muislamu
Nioneshe sehemu ambayo haya uliyoyaongea ypo kwenye hadithi au Qur'an
 
Najua ww ni Muislamu
Nioneshe sehemu ambayo haya uliyoyaongea ypo kwenye hadithi au Qur'an
katika maisha yetu yote tunayofanya yapo kwenye qur an au hadithi,!? ndugu yangu hii elimu kama zilivyo elimu nyingine tuwe na mipaka kuchanganya dini na haya mambo
 
wapi nimeandika au kusema kua natumia viumbe kwa ajili ya kinga na si muumba
Huwenda hautumii, ila maelezo yako yanaonyesha unaaamini kuna kinga inapatikana kutoka kwa asiyekuwa Allah.

Kwani uliposema hao uliowataja wanatumia kinga za asili ulimaanisha nini?
Au hiyo kinga ambayo mtu anatembea nayo Kila mahali ni kinga ya aina gani? Je Allah amejaalia hiyo kuwa kinga?

Ila Allah ndiye anayejua zaidi unaloitakidi moyoni mwako.
 
kama hayapo kwe qur an wala hadithi ndio hayafai!?
Sasa kma hayapo ndio hayafai mna Allah na Mtume wake hawajatuamrisha kufanya hayo
Na hizo ni katika Elimu za Ushirikina na atakaekufa na dhambi ya shirki huyo ataingia motoni milele
Sasa chaguo ni lako ama uachane na hyo mambo au ukifa ukaingie Motoni tu
kma ww kweli ni Muislamu najua utakua ushanielewa
 
katika maisha yetu yote tunayofanya yapo kwenye qur an au hadithi,!? ndugu yangu hii elimu kama zilivyo elimu nyingine tuwe na mipaka kuchanganya dini na haya mambo
Sisi kma.Waislamu mtume katuachia mambo mawili tu tuyafuate Qur'an na sunnah zake sasa ww sijui umetoa wapi hayo mambo
 
asante nashkuru kwa matusi yako, ila usidharau watu usiowajua na nataka nitoe fundisho humu jamii forum ya kutukanatukana watu ovyo, atakuja kuwaahadithia huyu kitakachomtokea
Kitanikuta nini..?!

Kitanikuta lini..?

Saa ngapi..?!

Taja kabisa hiyo siku nitakayokuja kuhadithia hicho kitachonikuta ili kila mtu ajue umesema kweli!

Tapeli mwanafunzi wee!
 
mbona unatisha watu Mkuu?
sasa kakufanya nini ata untka umfanyie ubaya
Hana huo uwezo wa kufanya chochote, wala usihofu.

Anajaribu kujitutumua ili kuzuia watu wasisanuke!

Nawajua vzr watu wa aina yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…