Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Matumizi ya tumbaku na bidhaa za tumbaku unazidi kuwa mwiba wa Dunia. Tafiti zinaonesha magonjwa mengi yasiyo ya kuambukiza yanasababishwa na matumizi ya bidha za tumbaku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali ni mbaya mkuuMkuu acha masihara,dunia nzima Ina watu almost bilioni 7,sasa kwa vifo bilioni 1.7 baada ya Mika mitano ijayo dunia itakuwa haina watu kutokana na tumbaku tu,bado malaria,kansa nk
Mtoa uzi ni bingwa wa uongo.Dunia ina watu billion 8.
Maana yake kama matumizi ya tumbaku yangeanza 2010 basi mpaka leo dunia ingekuwa nyeupe bila mtu hata mmoja.
Je matumizi ya tumbaku yameanza mwaka huu? kama sio mwaka huu then yalianza mwaka gani?
Bila shaka unamaanisha watu Million 1.7 kila mwaka.
Message received