Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuna mwingine alipigwa risasi 30+ na wasiopenda kukosolewa lakini hakufa, kweli Mungu hashindwi na ni muweza yote!Watu laki moja na nusu ( 150 00) hufa kila siku hapa Duniani, watu 6 300 hufa kila dakika hapa Duniani, na kwa mwaka hufa zaidi ya watu milioni 50,
Siyo jambo dogo.Shukuru mungu uhai unao
Kwahyo kila mwaka kuna kanchi kanapotea maana hiyo idadi ni wastani wa population ya nchi kabisaWatu laki moja na nusu ( 150 00) hufa kila siku hapa Duniani, watu 6 300 hufa kila dakika hapa Duniani, na kwa mwaka hufa zaidi ya watu milioni 50,
Na kuna zaid ya nchi inazaliwaKwahyo kila mwaka kuna kanchi kanapotea maana hiyo idadi ni wastani wa population ya nchi kabisa
Na kuna zaid ya nchi inazaliwa
Wangapi wamezaliwa tangu mwaka uanze?Watu laki moja na nusu (150,000) hufa kila siku hapa duniani, watu 6300 hufa kila dakika hapa duniani, na kwa mwaka hufa zaidi ya watu milioni 50.