johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Maana ya Sensa ni kuwa na makadirio yaliyokubalika kimahesabu ya kitakwimu. Hakna nchi duniani hesabu au takwimu Exact.Milion 61 ya watanzania ni makadilio tu, serilali haina uwezo na nia ya kujua idadi halisi ya wa tanzania hiyo sensa ilikua na loophole nyingi, ni kutimiza tu matumizi ya pesa.
Namba ya watu ni kigezo kimoja wapo. Ukubwa wa nchi ni kitu kingine ambao unaifanya serikali ipate shida kupeleka huduma sahihi kwa wakati muafaka. Maamuzi yote wanafanya dodoma/dar.Najua wengi wanadai Sera ya Majimbo italeta ukabila
Lakin Watu milioni 61 ni wengi sana
Je, huu siyo wakati muafaka CCM ikachukua Sera hii ya CHADEMA na kuifanyia kazi?
J3 Ubarikiwe sana!
Sensa iliyopita watu walikuwa million 52Hivi sensa iliyopita tulikuwa wangapi? Kuuliza sio ujinga bandugu.
Daah! Tunachapa sana rungu!.kila ikicheua wanabeba.Sensa iliyopita watu walikuwa million 52
MkuuSensa iliyopita watu walikuwa million 52
Ukimwi na Ajali Pombe kali na Kulogana pia vinapunguza.Mkuu
Hizo data hapana Yaani kwa miaka kumi tumezaliana watu Milion nane tu!!?
Mi nilijua tutakua milioni 100!