Watu milioni moja wanavyoweza kusaidia ukaitwa bilionea

brightoscar

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
369
Reaction score
543
Jamii forum in wanachama zaidi ya milioni 1 kila mwanachama akinichangia tsh 1000 kesho nitaitwa bilionea tafadhalini ndugu zangu naomba mnitumie tsh1000 tu na kupitia mimi nitawanyanyua wengi humu ndani, naombeni mawazo yenu kabla ya hatua ya pili..

next step kama mmependa hii idea na tunaweza kuifanyia implementation kwa pamoja naomba hiyo tsh1000 tu iwekwe kwenye 0682362310 asanteni
 
Jamii forum in wanachama zaidi ya milioni 1 kila mwanachama akinichangia tsh 1000 kesho nitaitwa bilionea tafadhalini ndugu zangu naomba mnitumie tsh1000 tu na kupitia mimi nitawanyanyua wengi humu ndani, naombeni mawazo yenu kabla ya hatua ya pili..
Una jinsia gn?
 
Tunatuma wapi!? Mbona hata # ya simu wala a/c # hujaweka mkuu!!!

Upo serious??
 
hatua ya pili baada ya kuangalia response both negative na positive ndio zitakazoamua nitoe namba ya kuweka
Sawa mkuu ukikamisha nitag ili na mm nishiriki unaweza ukawa na mawazo +ve ya kusaidia jamii .
NB: Lazima uandike proposal ambayo inashawishi
 
Back
Top Bottom