brightoscar
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 369
- 543
Una jinsia gn?Jamii forum in wanachama zaidi ya milioni 1 kila mwanachama akinichangia tsh 1000 kesho nitaitwa bilionea tafadhalini ndugu zangu naomba mnitumie tsh1000 tu na kupitia mimi nitawanyanyua wengi humu ndani, naombeni mawazo yenu kabla ya hatua ya pili..
baada ya muda mfupi itakuwa *10100,0000,000 mbona mimi napata hivi
nitafanya big investments ambazo zitasaidia watu wengi humuhatua ya pili itakuwa ni kutudharau wote tulio kuchangia, labda ungesema 900 ingependeza sio buku
itakuchukua muda kufikia malengo kama uelewa ndio umeishia hapoUtunyanyue kwani tumeanguka?
Sawa Bashiteitakuchukua muda kufikia malengo kama uelewa ndio umeishia hapo
wanachama ni kama wewe ingekuwa wamesema biko hata usingehojiHao wanachama wa wapi?
Hujui maana ya billionaire
endelea kuwachangia biko while huoni returnSawa Bashite
Jamii forum in wanachama zaidi ya milioni 1 kila mwanachama akinichangia tsh 1000 kesho nitaitwa bilionea tafadhalini ndugu zangu naomba mnitumie tsh1000 tu na kupitia mimi nitawanyanyua wengi humu ndani, naombeni mawazo yenu kabla ya hatua ya pili..
niko serious nilitaka opinion before next stepTunatuma wapi!? Mbona hata # ya simu wala a/c # hujaweka mkuu!!!
Upo serious??
niko serious nilitaka opinion before next step
hatua ya pili baada ya kuangalia response both negative na positive ndio zitakazoamua nitoe namba ya kuwekaHatua ya pili please
hii ni 1000,000,000. one billion !!100,0000,000 mbona mimi napata hivi
Sawa mkuu ukikamisha nitag ili na mm nishiriki unaweza ukawa na mawazo +ve ya kusaidia jamii .hatua ya pili baada ya kuangalia response both negative na positive ndio zitakazoamua nitoe namba ya kuweka