Watu mliozaliwa 1985-1995, how is life?

Nilikuwa najionaga dogo miaka 30 hii hapa na ichungulia na sina any.
Huwa na heshimu sana vijana wadogo ambao unawakuta wako site wanapandisha mijengo yao pembeni wana vyombo vya usafiri.
 
Sina Mchongo wa Maana wa kuniingizia Hela
Sina nyumba
Nmepanga kwenye kibanda
Sina Mke
Sina Mtoto
Nina Diploma, ila ni kama vyeti havina faida
Maamuzi ya maana ya ukoo sishirikishwi
Pambana mamb yatakaa vizuri.
 
Ntaiweka sura yangu kivip unajaribu kumaanisha nn?

Mm ni babako ova
Namaanisha kuwa Mimi ni mzee anayejikongoja, upara umeniota hadi kisogoni halafu mvi zimenitapakaa hadi kwenye mavuzi pia uso umekunjamana kama ganda la limau.

Ni mzee ambaye ukikutana naye unaweza ukahisi ndiye aliyeshiriki katika vita vya kwanza vya dunia akiwa upande wa Uingereza.
 
Nilikuwa najionaga dogo miaka 30 hii hapa na ichungulia na sina any.
Huwa na heshimu sana vijana wadogo ambao unawakuta wako site wanapandisha mijengo yao pembeni wana vyombo vya usafiri.
Ni balaaa kaka ila mamb yatakaa vzr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…