Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 561
- 1,149
Mimi Ni Gen z najipambania Sana lakini hio kwangu haihalalishi kubeza,kutweza,au kuwakashifu wenye age kubwa kuliko yangu ambao bado hawajatoboakama kijana wa miaka hio hajatoboa asahau kutoboa kwenye haya maisha.
wa 99-2005 tunakimbiza balaa mabraza imekula kwenu
tunaenda na mudawetu tusijekufeli kama nyie wajinga
kumbe bado unapambana wewe bado sanaMimi Ni Gen z najipambania Sana lakini hio kwangu haihalalishi kubeza,kutweza,au kuwakashifu wenye age kubwa kuliko yangu ambao bado hawajatoboa
Mimi na Hustle Huku nimefunga mdomo sichambui Maisha ya watu
Maana maisha yana mambo mengi bro siamini watu wote Ambao hawajatoboa Ni wajinga
Ha ha ha...kumbe dogo TU?π€Ni kitoto cha buku mbili hiko.
hahaha haya bhanaHakunaπ
π€£π€£Sina Mchongo wa Maana wa kuniingizia Hela
Sina nyumba
Nmepanga kwenye kibanda
Sina Mke
Sina Mtoto
Nina Diploma, ila ni kama vyeti havina faida
Maamuzi ya maana ya ukoo sishirikishwi
Mnakimbiza kuzaa ila mafanikio wachache sana ,kwana mnaongoza kwa kujinyongakama kijana wa miaka hio hajatoboa asahau kutoboa kwenye haya maisha.
wa 99-2005 tunakimbiza balaa mabraza imekula kwenu
tunaenda na mudawetu tusijekufeli kama nyie wajinga
tulia wewe dawa ikuingie.jituzima hela hunaπ€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺMnakimbiza kuzaa ila mafanikio wachache sana ,kwana mnaongoza kwa kujinyonga
Pole sana mkuu, yote yatapitaSina Mchongo wa Maana wa kuniingizia Hela
Sina nyumba
Nmepanga kwenye kibanda
Sina Mke
Sina Mtoto
Nina Diploma, ila ni kama vyeti havina faida
Maamuzi ya maana ya ukoo sishirikishwi
Wengi wanaloga au weziNilikuwa najionaga dogo miaka 30 hii hapa na ichungulia na sina any.
Huwa na heshimu sana vijana wadogo ambao unawakuta wako site wanapandisha mijengo yao pembeni wana vyombo vya usafiri.
Sasa hapa naamini weww ni my faza π€£π€£π€£π€£π€£ππππππQmaniner zako
Like me, kama alivyosema princess Ariana hapo juu najitafuta bado.....Kwa wanaume ujana unaanzia 45yrs, ombeni uzima mfikie hapo halafu uwe na akili na financial uwe vizuri. Maisha ni matamu sana na jamii inakuwa inakuamini
Bongo Hii.!! Labda UK, umri wa kutoboa bongo 55 kwenda mbele tena hapo yawezekana urithi umekubebaUmri wa kutoboa ni 24 mpaka 35.
55 ni umri wa kula pensheni mkuu.Bongo Hii.!! Labda UK, umri wa kutoboa bongo 55 kwenda mbele tena hapo yawezekana urithi umekubeba
Tena hapo wapwa wote wanakuita mjaa laana mwenye Nongwa kila anayekusogelea unamfukuza asiguse vya wazee wako kama ulizaliwa pekeyako
Tena una kauli mbiu yako "mjukuu halithi kwa Babu"
Unatania wewe, Labda uwe umekulia kwenye intellectual family family za 80_90c55 ni umri wa kula pensheni mkuu.