Watu mtambue majukumu yenu sio kila kitu Serikali

Watu mtambue majukumu yenu sio kila kitu Serikali

Santasente

New Member
Joined
Apr 17, 2023
Posts
2
Reaction score
0
Habarini za mchana wapendwa

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza naomba watu watambue wajibu wao sio kila kitu serikali sasa mtu anakomaa eti serikali itoe tamko kuhusu ushoga utazani serikali ndio imewatunzia vinyeo vyao hii watu wawape watoto wao malezi bora na wao wajilinde ili wasijihusishe ma ivyo vitendo naona mara sijui waisilamu wanaandamana kupinga ivi kwanini tusiwe tuna andama ivyo kupinga ufisadi kwasababu ndio una athari kubwa kwa wananchi wote Tanzania kichwa cha mwendawazimu.
 
Back
Top Bottom