Watu na Maisha

Kuna watu kwenye maisha watakuumiza halafu wataanza kukulaumu wewe kuwa umewaumiza 🥴
Kwa hiyo mmeumizana sivyo? 😳 Kaeni chini ninyi wenyewe kwanza myazungumze na myamalize.Ikishindikana tafuteni wazee wawashauri, ikishindikana waendeeni washauri wa kiimani ikishindikana tena hapo basi kila mmoja aelekee kivyake - mmoja Mashariki na mwingine Magharibi kwa amani. Hakuna cha fimbo, bisibisi wala risasi. Poleni sana.
 
Hao ndo wanawake... anakwambia tuachane ...mkiachana anasema wewe umemuacha humpendi...
Hukuwa na nia....
Naunga mkono hoja. Tena atakujazia na makorokoro kibao. Hiyo Iliandikwa toka zamani zaidi ya miaka 2000 iliyopita kwamba ' Ishini nao kwa akili".
 
Siku zote mwanzilishi haonekani anamakosa ila mmaliziaji ndio huonekana mmbaya.
Jitahidi kusimamia kile unachokiamini na kutotikisika kama mlima sayuni🙏
 
Siku zote mwanzilishi haonekani anamakosa ila mmaliziaji ndio huonekana mmbaya.
Jitahidi kusimamia kile unachokiamini na kutotikisika kama mlima sayuni🙏
Nanukuu: "Siku zote mwanzilishi haonekani anamakosa ila mmaliziaji ndio huonekana mmbaya".
Ndiyo. Tena andiko lingine lasema "Ashikwaye na ngozi ndiye mwizi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…