How do managers decide whether the cost is direct or indirect cost.....
NAOMBENI MSAADA,NASOMA MANAGERIAL ACCOUNTING SEMESTER HII AFU NIMEKUTANA NA HYO...MSAADA WA POINTS TAFADHALI
Yaani mwanafunzi unataka utajiwe majibu wakati hyo assignment unatakiwa uwe library umatafuta.........hyo ni field yangu na nilisoma hayo madude kwenye cost a/c 2!!!
Yaani mwanafunzi unataka utajiwe majibu wakati hyo assignment unatakiwa uwe library umatafuta.........hyo ni field yangu na nilisoma hayo madude kwenye cost a/c 2!!!
We huna kitu kwani jf hawezi pata msaada hata hiyo field uliifanyia magumashi
hahahaaa!! huyu dogo namkumbuka sana! enzi walipokuwa wana apply alikuwa akilia sana na course zenye hesabu!
sasa kakumbana na managerial accounting first semister,
bado sana ana mizinga mingi ya finance, economics, planning, marketing, procurement (angalau hii kidogo), pamoja na mikwaju mingineyo mingi!!
you cant imagine, hivi hivi ndivyo watu wanavyo disco kimzaha tu!
cc .. saidry
How do managers decide whether the cost is direct or indirect cost.....
NAOMBENI MSAADA,NASOMA MANAGERIAL ACCOUNTING SEMESTER HII AFU NIMEKUTANA NA HYO...MSAADA WA POINTS TAFADHALI
jamiii forum...humu ndani kuna wa ajabu sana.....mtu ameomba msaada mtu mwingine anamjibu kashaa......daa watanzania ndo maana wengi hamuendelei...mna roho ya kwanini
poa...nashkuru kwa majibu yenu wote....najua ukimkimbiza chiz aliechukua nguo zako wakat we mwnyw upo uchi...wewe ndo utaonekana chizi..........
liitwe jukwaa la majungu na cyo jukwaa la wasomi,,,sa mtu anakwambia "namkumbuka sana aliku analia khs hesabu",,,,jaman ktk mifumo yote ya elimu kila mtu ana somo lake ambalo ni utata....unaeza ukawa mtaalam xana wa hesabu lakini masomo yenye maelezo huyawez....
group limekuepo ili tuelimishane mambo mbali mbali ya kielimu,,,sijaomba kufanyiwa swali ila mwongozo tu...kwan huko nlikopitia mlikua mnanifanyia nyie maswali??????mmekua mwili afu akili matope
Tafuta broad meaning ya direct and indirect cost ndani yake kuna majibu na yako wazi