Watu wa Arusha mnakula bata wapi?

mliverpool

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2015
Posts
1,565
Reaction score
2,944
Watu WA arusha mnakula bata wapi jamani au mnataka nirudi na perdiem yangu dar?

Nina siku ya 4 hapa usiku nafanya kazi ya kuhama viwanja Tu Ila sijaona sehem yenye vibe,sehemu yenye wadangaji wazuri na washkaji wala bia wakukufanya utumie hela kidogo,kila nikipelekwa kiwanja kizuri nakuta watu hawazidi hata WA 5 wakati Sisi wengine tushazoea maeneo kama liquid hakuna cha jumatstu WAla weekend vibe Muda wote.

Hebu niambieni kiwanja chenye vibe leo nikavinjari,ni mwiko kurudi na perdiem kituo chako cha kazi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…