Watu wa Bara tuwaheshimu Wazanzibari kwani Kihistoria wao ndiyo walikuwa wa Kwanza kuwa na Treni kisha Sisi tukafuata

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Treni ya Kwanza nchini ilianzia kule Kisiwani Zanzibar mwaka 1879

Treni ya Kwanza Bara ilianza mwaka 1893

Treni ya Kwanza ya TRC ilianza mwaka 1907 kutoka Dar hadi Morogoro kisha mwaka 1909 kutoka Morogoro hadi Mwanza na mwaka 1914 kutoka Mwanza hadi Kigoma

Haya wale Watu ambao mnapenda Historia kama Mimi GENTAMYCINE kuweni nayo hii na wapeni Watoto wenu.

Haya yote hii ni kwa mujibu ya Simulizi Maalum ya Historia kabisa ya Reli nchini Tanzania kutoka TBC1 muda si mrefu.
 
Wapumbavu nchi hii wengi sana! Yaani heshima inatokana na kuwa mmiliki wa kwanza!

Ridiculous!
 
Nawe ukiwa ni mmoja wao kwani usingekuwa nawe ni Mpumbavu baada ya kuuona huu Uzi wa Kipumbavu wala usingehangaika kuja Kuujibu. Stress na Frustration za Maisha magumu uliyonayo sasa vinakufanya uwe Mtu wa Hasira na Kuchukia haraka. Pole sana na hapo bado Kudadadeki....!!
 
Treni ya Kwanza nchini ilianzia kule Kisiwani Zanzibar mwaka 1879

Treni ya Kwanza Bara ilianza mwaka 1893

Treni ya Kwanza ya TRC ilianza mwaka 1907 kutoka Dar hadi Morogoro kisha mwaka 1909 kutoka Morogoro hadi Mwanza na mwaka 1914 kutoka Mwanza hadi Kigoma

Haya wale Watu ambao mnapenda Historia kama Mimi GENTAMYCINE kuweni nayo hii na wapeni Watoto wenu.

Haya yote hii ni kwa mujibu ya Simulizi Maalum ya Historia kabisa ya Reli nchini Tanzania kutoka TBC1 muda si mrefu.
heshima na treni wapi na wapi;Treni ilifika kigoma kwanza 1905 halafu baadaye mwanza 1925 baada ya mkoloni mwingereza kuona kuna umuhimu wa kuwa na reli huko.Genta unakwama wapi?
 
Treni ya Kwanza nchini ilianzia kule Kisiwani Zanzibar mwaka 1879

Treni ya Kwanza Bara ilianza mwaka 1893

Treni ya Kwanza ya TRC ilianza mwaka 1907 kutoka Dar hadi Morogoro kisha mwaka 1909 kutoka Morogoro hadi Mwanza na mwaka 1914 kutoka Mwanza hadi Kigoma

Haya wale Watu ambao mnapenda Historia kama Mimi GENTAMYCINE kuweni nayo hii na wapeni Watoto wenu.

Haya yote hii ni kwa mujibu ya Simulizi Maalum ya Historia kabisa ya Reli nchini Tanzania kutoka TBC1 muda si mrefu.
Tuwaheshimi sababu ya historia au sababu ni raia wema na hawataki makuu na watanganyika?
 
Treni ya Kwanza nchini ilianzia kule Kisiwani Zanzibar mwaka 1879

Treni ya Kwanza Bara ilianza mwaka 1893

Treni ya Kwanza ya TRC ilianza mwaka 1907 kutoka Dar hadi Morogoro kisha mwaka 1909 kutoka Morogoro hadi Mwanza na mwaka 1914 kutoka Mwanza hadi Kigoma

Haya wale Watu ambao mnapenda Historia kama Mimi GENTAMYCINE kuweni nayo hii na wapeni Watoto wenu.

Haya yote hii ni kwa mujibu ya Simulizi Maalum ya Historia kabisa ya Reli nchini Tanzania kutoka TBC1 muda si mrefu.
Sasa hivi wanayo?

Tv walikuwa wa kwanza
Kuna TV za binafsi ngapi Zanzibar ukilinganisha na Tanzania bara kimebaki ki Tv kile.kile Cha Tv Zanzibar

Kutangulia si kufika
 
Nawe ukiwa ni mmoja wao kwani usingekuwa nawe ni Mpumbavu baada ya kuuona huu Uzi wa Kipumbavu wala usingehangaika kuja Kuujibu. Stress na Frustration za Maisha magumu uliyonayo sasa vinakufanya uwe Mtu wa Hasira na Kuchukia haraka. Pole sana na hapo bado Kudadadeki....!!
Ona unavyobwabwaja ovyo! Kunywa maji baridi kifua kipoozwe joto linalotokana na upumbavu wako!
 
Wazenji wameanza kutumia vitu vizuri kuliko huku sisi bara

Ova
 
Treni ya Kwanza nchini ilianzia kule Kisiwani Zanzibar mwaka 1879

Treni ya Kwanza Bara ilianza mwaka 1893

Treni ya Kwanza ya TRC ilianza mwaka 1907 kutoka Dar hadi Morogoro kisha mwaka 1909 kutoka Morogoro hadi Mwanza na mwaka 1914 kutoka Mwanza hadi Kigoma

Haya wale Watu ambao mnapenda Historia kama Mimi GENTAMYCINE kuweni nayo hii na wapeni Watoto wenu.

Haya yote hii ni kwa mujibu ya Simulizi Maalum ya Historia kabisa ya Reli nchini Tanzania kutoka TBC1 muda si mrefu.
Heshima ya kweli isitokane na kuwa eti fulani kaanza kutumia kitu mwanzo kuliko wewe,heshima ya kipuuzi.

Watanganyika watuheshimu wazanzibari kwa sababu ya utu na ustaarabu.

Pia wazanzibar watuheshimu watanganyika kwa sababu ya utu na ustaarabu.

Hakuna ambaye ana haki ya kumuheshimu mwenzie zaidi kiko mwengine eti kwa sababu fulani,hiyo haipo.
 
Back
Top Bottom