GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wapumbavu nchi hii wengi sana! Yaani heshima inatokana na kuwa mmiliki wa kwanza!Treni ya Kwanza nchini ilianzia kule Kisiwani Zanzibar mwaka 1879
Treni ya Kwanza Bara ilianza mwaka 1893
Treni ya Kwanza ya TRC ilianza mwaka 1907 kutoka Dar hadi Morogoro kisha mwaka 1909 kutoka Morogoro hadi Mwanza na mwaka 1914 kutoka Mwanza hadi Kigoma
Haya wale Watu ambao mnapenda Historia kama Mimi GENTAMYCINE kuweni nayo hii na wapeni Watoto wenu.
Haya yote hii ni kwa mujibu ya Simulizi Maalum ya Historia kabisa ya Reli nchini Tanzania kutoka TBC1 muda si mrefu.
Nawe ukiwa ni mmoja wao kwani usingekuwa nawe ni Mpumbavu baada ya kuuona huu Uzi wa Kipumbavu wala usingehangaika kuja Kuujibu. Stress na Frustration za Maisha magumu uliyonayo sasa vinakufanya uwe Mtu wa Hasira na Kuchukia haraka. Pole sana na hapo bado Kudadadeki....!!Wapumbavu nchi hii wengi sana! Yaani heshima inatokana na kuwa mmiliki wa kwanza!
Ridiculous!
heshima na treni wapi na wapi;Treni ilifika kigoma kwanza 1905 halafu baadaye mwanza 1925 baada ya mkoloni mwingereza kuona kuna umuhimu wa kuwa na reli huko.Genta unakwama wapi?Treni ya Kwanza nchini ilianzia kule Kisiwani Zanzibar mwaka 1879
Treni ya Kwanza Bara ilianza mwaka 1893
Treni ya Kwanza ya TRC ilianza mwaka 1907 kutoka Dar hadi Morogoro kisha mwaka 1909 kutoka Morogoro hadi Mwanza na mwaka 1914 kutoka Mwanza hadi Kigoma
Haya wale Watu ambao mnapenda Historia kama Mimi GENTAMYCINE kuweni nayo hii na wapeni Watoto wenu.
Haya yote hii ni kwa mujibu ya Simulizi Maalum ya Historia kabisa ya Reli nchini Tanzania kutoka TBC1 muda si mrefu.
Tuwaheshimi sababu ya historia au sababu ni raia wema na hawataki makuu na watanganyika?Treni ya Kwanza nchini ilianzia kule Kisiwani Zanzibar mwaka 1879
Treni ya Kwanza Bara ilianza mwaka 1893
Treni ya Kwanza ya TRC ilianza mwaka 1907 kutoka Dar hadi Morogoro kisha mwaka 1909 kutoka Morogoro hadi Mwanza na mwaka 1914 kutoka Mwanza hadi Kigoma
Haya wale Watu ambao mnapenda Historia kama Mimi GENTAMYCINE kuweni nayo hii na wapeni Watoto wenu.
Haya yote hii ni kwa mujibu ya Simulizi Maalum ya Historia kabisa ya Reli nchini Tanzania kutoka TBC1 muda si mrefu.
Sasa hivi wanayo?Treni ya Kwanza nchini ilianzia kule Kisiwani Zanzibar mwaka 1879
Treni ya Kwanza Bara ilianza mwaka 1893
Treni ya Kwanza ya TRC ilianza mwaka 1907 kutoka Dar hadi Morogoro kisha mwaka 1909 kutoka Morogoro hadi Mwanza na mwaka 1914 kutoka Mwanza hadi Kigoma
Haya wale Watu ambao mnapenda Historia kama Mimi GENTAMYCINE kuweni nayo hii na wapeni Watoto wenu.
Haya yote hii ni kwa mujibu ya Simulizi Maalum ya Historia kabisa ya Reli nchini Tanzania kutoka TBC1 muda si mrefu.
Ona unavyobwabwaja ovyo! Kunywa maji baridi kifua kipoozwe joto linalotokana na upumbavu wako!Nawe ukiwa ni mmoja wao kwani usingekuwa nawe ni Mpumbavu baada ya kuuona huu Uzi wa Kipumbavu wala usingehangaika kuja Kuujibu. Stress na Frustration za Maisha magumu uliyonayo sasa vinakufanya uwe Mtu wa Hasira na Kuchukia haraka. Pole sana na hapo bado Kudadadeki....!!
Heshima ya kweli isitokane na kuwa eti fulani kaanza kutumia kitu mwanzo kuliko wewe,heshima ya kipuuzi.Treni ya Kwanza nchini ilianzia kule Kisiwani Zanzibar mwaka 1879