Watu wa bima Assesment wanachelewa sana, nifanyeje?

Watu wa bima Assesment wanachelewa sana, nifanyeje?

edger jairos

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
335
Reaction score
71
Jaman habrini,

Hebu niulize, Gari yangu mwenzangu aligonga ukuta, Akapeleka garage moja classic yenye ubiana na watu wa bima.

Meneja akamsahur garama ya kutengeneza ni kubwa abt 1.5mil so atumie bima,
Ishu inakuja watu wa bima Assesment wanachelewa sana naogopa gar ikawa kimeo.

Nifanyeje?

Karibuni.
20200930_093911.jpeg
 
Jaman habrini,

Hebu niulize, Gari yangu mwenzangu aligonga ukuta, Akapeleka garage moja classic yenye ubiana na watu wa bima.

Meneja akamsahur garama ya kutengeneza ni kubwa abt 1.5mil so atumie bima,
Ishu inakuja watu wa bima Assesment wanachelewa sana naogopa gar ikawa kimeo.

Nifanyeje?

Karibuni.View attachment 1605343
Wanachelewa kufanyaje?

Kuja kufanya assessment? Kutoa hela?

Umekata bima kubwa au ndogo?
 
Wanachelewa kufanyaje?

Kuja kufanya assessment? Kutoa hela?

Umekata bima kubwa au ndogo?
Yale yale, anaomba msaada hata kukamilisha maelezo hawezi.

Anajua sisi tulikuwepo wakati anagonga ukuta hadi gereji lilipo gari.
 
Ni muda gani umepita tangu umepeleka madai kampuni ya bima?
 
Ww unataka tujaze page za sim ili usielewe zaid na uwachoshe watu.
Kuna mawasiliano ambayo yanaelewekaga tu ukiongea kwa njia hii ya maandshi kwa urahisi, try to Imagine au uliza huu sio mbishano ni kuelekezana.tu.hakuna tuzo apa
Yale yale, anaomba msaada hata kukamilisha maelezo hawezi.

Anajua sisi tulikuwepo wakati anagonga ukuta hadi gereji lilipo gari.
 
Kuna namna nzur ya kuwafatilia ili kuweza harakisha mchakato wote ?
 
Kama wanakuzingua wapeleke mahakama ya BIMA inaitwa TIRA fatilia ilipo yaani wakipigiwa simu tu chap sana watakutafuta hao nao wanapend mpk upenyeze RUPIA

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom