Watu wa Blues mkuje mnisaide natafuta jina la huu wimbo wa kizungu

Watu wa Blues mkuje mnisaide natafuta jina la huu wimbo wa kizungu

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Wimbo kaimba mdada ila nakumbuka tu kwenye kiitikio,

Anaimba aie ieeee aeee eha
Apolo apolo aeee eha
Aie ieeee aeee eha apolo apolo aeee eha

Sijui kaimba nani
 
Kwanza hiyo sio nyimbo ya kizungu. Pili hiyo sio blues. Tatu wimbo unaitwa agolo sio apolo. Ila hongera umeupata.
 
Back
Top Bottom