Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Sio masiala nautafuta kweli sema tu vile hauujuiHili jani ni la R-chuga
Wimbo kaimba mdada ila nakumbuka tu kwenye kiitikio,
Anaimba aie ieeee aeee eha
Apolo apolo aeee eha
Aie ieeee aeee eha apolo apolo aeee eha
Sijui kaimba nani
Ni wenyewe bwana asante san
Sijui hata nikupe nini
Kaka umetisha?Wimbo kaimba mdada ila nakumbuka tu kwenye kiitikio,
Anaimba aie ieeee aeee eha
Apolo apolo aeee eha
Aie ieeee aeee eha apolo apolo aeee eha
Sijui kaimba nani
Poa mzeeKaka umetisha?
Kumbe hii ni blues πSijui hata nikupe nini
Mi sijui tenKumbe hii ni blues π
Tuma na kutolea ππSijui hata nikupe nini
SawaKwanza hiyo sio nyimbo ya kizungu. Pili hiyo sio blues. Tatu wimbo unaitwa agolo sio apolo. Ila hongera umeupata.
Uzuri wenyewe tumeelewanaHaya ni maajabu ya dunia, na umepatikana hakika Tz tuna vichwa vikismamua kutumia akiliπ€£