Km 65, ina lami ila haijafk had mjin kls. bt kuna njia kuzungukia Kimamba.vipi barabara , lami au vumbi?
Hamna kitu huko abiria unakaa foleni kuwasubr kwa masaa manne ndo upakieMkuu ile huku Dumila-Kilosa, au Msamv- Kilosa au Moro-gairo.
bado nafanyia uchunguzi route ya Makumbusho -bagamoyo nasikia IPO vizuriIo ya kwanza me naona ndo nzur mkuu ya mbez 2 mlandz au ianzie ubungo kbsa.... Kuna faida kam mbil ambapo nkwamba kwanza ela inayopatkana ni nzur, af gar inakua n
trip 2 tu kwa cku au zikizd ni 3....
Ivo ata service yake cku ukiamua kuifanya haikugharimu sana, ata me nna mpango uo bt cpo dsm npo somewhere kikaz then nafanya kautafit pia bdo,
Nliwaza kuhusu trip za ndan dsm gar itahaso sana mana lazma ikesheshwe tu coz bdo daywaka nao watataka kuitumia ioio wapate ela + usawa wenyewe wa magu huu bs ni shidaaaaa...
Na mm nilitaka kuuliza swali kama hio mkuuNa mimi naomba kukuuliza mkuu hivi mpaka unanunua gari 26 ulikua hujajua unazipeleka wapi?
Ushauri wangu:
Kwa ruti nyingi za katikati ya mji Dsm wamefunga kutoa lesseni mpya. Ila ruti ya Makumbusho Bagamoyo ni nzuri pia
ruti zilizo fungwa ni mbezi posta na mbezi kariakoo, pamoja na mbezi muhimbili japo zimefunguliwa. Hii ya makumbusho Bagamoyo wengi wanasema nzuri, asante kwa ushauri.Na mimi naomba kukuuliza mkuu hivi mpaka unanunua gari 26 ulikua hujajua unazipeleka wapi?
Ushauri wangu:
Kwa ruti nyingi za katikati ya mji Dsm wamefunga kutoa lesseni mpya. Ila ruti ya Makumbusho Bagamoyo ni nzuri pia