moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
Watu wa Dar bwana....
Kabla hujaenda ukimpigia simu anakwambia
karibu sana kaka ukija usiache kunitafuta[emoji4][emoji4]....
Ukifika ukampigia kwanza anakuuliza
umefikia wapi, unamwambia nipo Kawe,
utaskia nipo Kibaha kuna issue
nashughulikia ntakuchek kesho[emoji16][emoji16].... Kesho
ndo hutaiona simu yake ng'oo[emoji17][emoji17]... Ukimpigia
simu kumwambia kesho naondoka, utaskia
mbona fasta kaka, daah sema umekuja
bahati mbaya sa hv npo taiti kiaina ila ukija
tena tutamit tu[emoji16][emoji16]...
woote sound zao hzo hzo, utadhani
mwalimu wao mmoja[emoji57][emoji57]
Afu wao wakija huku wanapopaita mikoani,
anataka uwe nyuma yake 24/7, utadhani
mnatafuta wadhamini?[emoji30][emoji30]... Stori zake sasa..
Hivi huku mikoani mnaishije..? hakuna
mzunguko wa hela kabisa[emoji45][emoji45]..
Hiyo mizunguko ya hela huko Dar ingekuepo
si wote mngekua Bakhressa[emoji23][emoji23]...
asee... acheni hizi
tabia, mnatukera sana sisi wakuja[emoji35][emoji35].