Watu wa Dar hawapendi wageni

Watu wa Dar hawapendi wageni

Unasema ?
Well, ila nilitegemea utatoa kwanza sababu ndipo uje na #Lawama ila cha ajabu umeanza na lawama baada ya kutoa sababu.

[emoji419]MWISHO... Inawezekana watu wa dar wakapenda wageni ila sio kama mgeni aina Yako, mda mwingine walalamikao wengi wao huwa ndo chanzo cha Tatizo.

[emoji419]Jitathmin labda wew ndo chanzo cha tatzo na ukawapa watu wa Dar sifa mby, wakati hakuna watu smart kama wa mkoa huo pendwa[emoji173].
 
It will take time to understand this.
 
Maisha yakuungaunga,uongo na umwamba usiokuwepo ndio tabu!. Maisha machakavu huko utapendaje wageni..? Kama kula yangu tu taabani kula ya mgeni wangu itakuwaje..? Nakupenda maana sitaki uje nikupake shida nilizonazo!,na pia sikupendi kwasababu nikikukaribisha kesho utanitangazia dhiki zangu so kuepusha mengi ni heri nikupende na nisikupende!.
 
Wageni hawatakiwi kwasababu wakija kwenye nyumba zetu hawajui kuwa kila mtu anaishi kulingana na mipango yake.

Yaani kifupi hawajui kuwa kupanga ni kuchagua na kila binadamu anapanga namna ya kuishi.

Wabaki huko huko kwao wasije kuleta taratibu zao za vijijini.
 
Back
Top Bottom