cqq
Member
- Apr 23, 2017
- 39
- 57
Watu wa dar bwana,,,,,,,, kabla hujaenda ukimpigia simu anakwambia karibu saaaaaaaaaaaaaaaaaana kaka ukija usiachie kunitafuta[emoji23]
Ukifika ukimpigia kwanza anakuuliza uko wapi[emoji51]unamwambia nipo Kawe,,,,,,,,,, utasikia nipo Kibaha kuna issue nashughulikia ntakucheki kesho [emoji135]ndo hutampata hewani tena [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ukimpigia sim kumwambia kesho nasepa utasikia mbona fasta kaka sema umekuja bahati mbaya sasahivi nipo taiti,,,,,,,, yaaani wote sound zao ni hizo hizo utazani mwalimu wao mmoja [emoji53][emoji53]
Halafu wao wakija huku wanapopaita mkoani anataka uwe nyuma yake masaa 24/7 mtadhani mnatafuta wadhamini [emoji58][emoji58]stori zake sasa [emoji51][emoji51]
Huku mkoani mnaishije hamna mzunguko wa hela kabisa *** nyoo dar ungekua wote mnamzunguuko wa pesa si wote mngekuwa kama baressa,,,,, acheni hizo bhana mnatukera sisi watu wakuja [emoji108]