Watu wa Dini wana ushawishi mkubwa sana

Watu wa Dini wana ushawishi mkubwa sana

NEW COVID

Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
38
Reaction score
38
Wakuu kwema?

Nimejaribu kutafakari Kwa kina nimebaini watu wa kiimani/ dini wana ushawishi sana. Hapa nataka tujadili kwa kina napendekeza tubase Sana kwenye elimu zao na tusiwachukulie Kwa kuwa ni watu wa imani na wewe karibu utueleze mtu wa kundi lipi ana USHAWISHI?
 
Back
Top Bottom