Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Hakuna kutajana majina
Hivi dada zetu wengine ndio first time kukaa nje ya nchi?
but then again what did I expect from that tacky place?
Kaka imekueje tena? tacky kivipi? mboni siku za nyuma ulikua ukituletea mapicha ya Dubai huku ukiisifia?
mji umevamiwa na hao dada zetu wenye miguu kama chokstiki
basi hatusemi wamekuwa kama vile vipofu walioona
mji umevamiwa na hao dada zetu wenye miguu kama chokstiki
basi hatusemi wamekuwa kama vile vipofu walioona
Mkuu unarusha mawe gizani ahahahaaa:lol::lol:
Unamfahamu mpaka umchukie?Embu tafuta mpenzi akuweke bize mwanaume wewe acha kuchukia watu ambao si ajabu hata hawajui unaExist!Huyo wa juu si wa Dubai atiiii na mi namzimia kichizi namtamni sana awe wifeeee. Huyo wa chini ndo limbukeni wa Dubai. Too fake namchukia sana mwanamke huyu ndo maana kaishia kuolewa na mdhungu maana hakuna waketu ambaye angemweza:embarassed2:
Mkuu unarusha mawe gizani ahahahaaa:lol::lol:
Unamfahamu mpaka umchukie?Embu tafuta mpenzi akuweke bize mwanaume wewe acha kuchukia watu ambao si ajabu hata hawajui unaExist!