Watu wa equivalent jameni inakuwaje?

endeleen kusubir ht mie nliomba hvo mwaka jana..znachelewa bt wote mnapata vyuo..subirini tu ndg zangu
 
bora ata unatupa moyo maana tushajikatia tamaa

msikate tamaa ndugu zangu...mda bdo upo na bila shaka ote mtachaguliwa..msikatishwe tamaa na watu wenye majib mabaya umu kwny JF...ht cye tulijibiwa vby sana mwaka jana..MSIKATE TAMAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…