Watu wa Graphics and Designing (Mtaalamu wa ADOBE Photoshop) wanahitajika

Watu wa Graphics and Designing (Mtaalamu wa ADOBE Photoshop) wanahitajika

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
1,450
Reaction score
600
Katika pitapita zangu za hapa na Pale nimekutana na tangazo
WANAHITAJIKA watu WATANO wa designing wawe ni wataalamu wa kutumia ADOBE PHOTOSHOP
hawa jamaa wanaitwa BOMEI Advertising Production Manufacturer ltd. wapo maeneo ya Chang'ombe next to Serengeti breweries, wanapatikana kwa namba 0656899999 na 0753 017111, ukifika ni rahisi zaidi kuliko kuwasiliana nao coz ni wachina hawajui kiswahili vizuri ila ukifika uliza meneja (sina namba yake) wenye bahati zao
 
japo kazi hiyo haina mahusiano na mimi ila 2nasema wakondya/asante kwa kutokuwa mchoyo.
 
Back
Top Bottom