Utumwa hapa Afrika Mashariki ulianza zamani sana karne ya saba hivi kipindi hiko Wapersian wakija kufanya biashara hivyo waliwachukua baadhi ya waafrika wenye nguvu na kuwapeleka huko Mashariki ya kati kwa ajili ya kufanya shughuli za majumbani
Lakini biashara ilikuja kuanza kuchanganya zaidi baada ya shughuli za uzalishaji kuanzishwa huko visiwa vya Carribean na kule Mauritius hapo ndipo ikaanza biashara ya utumwa karne ya 13 kama sijakosea......kumbuka huko nyuma ulikuwa ni utumwa haikuwa biashara na hapo hao waarabu walokuwa wakija kipindi hiko kufanya biashara ndio wakawa maagent wa kuwanunu watumwa toka vijijini na kwenda kuwauza kwa wazungu
Nimejaribu kidogo hapo ndugu yangu,ngoja waje wajuzi zaidi watujuze!!
Katika pitapita zangu kwenye vitabu vya historia sijawahi kukutana na kitu kama ulichokiandika hapa. Yaani ni mchanganyiko wa mambo! Ingewezekana ningekushauri ufute hii thread, urudi kupekua upya vitabu, ndipo ulete mada yako ikiwa imeandikwa kwa mtiririko unaoeleweka.
Kuna dhana mabili bado nahisi umezichanganya na ambazo zimewachanganya wachangiaji. hebu weka wazi unakusudia "utumwa" au "biashara ya utumwa." Tuanzie hapo Mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.