Katika pitapita zangu kwenye vitabu vya historia sijawahi kukutana na kitu kama ulichokiandika hapa. Yaani ni mchanganyiko wa mambo! Ingewezekana ningekushauri ufute hii thread, urudi kupekua upya vitabu, ndipo ulete mada yako ikiwa imeandikwa kwa mtiririko unaoeleweka.